Jumatano, 28 Januari 2015

Fahamu kuhusu HANCY ABDILLAHI HASSAN hapaa

   HANCY ABDILLAHI HASSAN....nikijana mwenye umri wa miaka 21 kijana huyu amezaliwa katka familia mbili,yani familia ya baba mmoja lakini mama tofauti.

Katika upande wa mama aliye mzaa Hancy wamezaliwa watoto 5.Hancy akiwa ndiye mtoto wa kwanza kwa pande zote mbili. Na kwa upande wa pili Hancy anawadogozake wa 2,.

Katika hali ya kawaida kijana hancy hakuwahi kubahatika kulelewa na mama yake mzazi aliishi na mama yake kwa mda mchae hadi kufika umri wa miaka 4 hancy alichukuliwa na baba yake na kwenda kuishi nae


Hancy alianza maisha mapya akiwa na baba yake mzazi na mama wa kufikia Alipo fikisha umri wa miaka 7,Hancy namdogo wake wa kiume kwa baba walianza elimu ya shule ya msingi katka shule ya msingi Kaloleni mkoa Kilimanjaro wilaya ya moshi mjini.
Kijana Hancy alikua ni kijana mwenyenye uwezo mkubwa kiakili kwani alikua nikijana mwenye kushika nafasi nzuri katka masomo yake.

Hali  hii ilipelekea mpka kijana Hancy kupata bahat ya kupendwa sana na walimu kwa uwezo wake.
Hancy aliendelea vizuri katika masomo yake huku akiendelea kuwa na tabia njema ambayo ili kuwa ikiwafurahisha kila alie kua karbu nae kwani alikua ni kijana alie kuwa akipenda utani na ucheshi na pia alikua mkarimu kwa kila mtu.

Muda mwingi ulipita miaka mingi ikapita kijana Hancy alikua akizidi kukua umri ukizidi kuongezeka akafanikiwa kupita darasa la nne kwa alamA nzuri na kuendelea mbele kidato cha tano.

Muda ulizidi songa na hatimae kijana alifika darasa la saba mungu akazidi kuonyesha uwezo kwa kijana huyo alipo mpa uwezo na akafaulu kwenda kidato cha kwanza. Mwaka 2009 kijana Hancy Abdillahi aliweza kujiunga na kidato cha kwanza katika secondary ya Msasani Sec School.

Hancy alianza shule vyema japo kulikua kuna matatizo madogo madogo yaki famili tofauti katka familia ndipo ilipoanza walipo anza sec mwanzoni wa mwaka 2009 ndipo walipo anza 4m1.kama ilivyo ada kwamba mwanzoni wa mwaka uanzapo shule ama darasa jipya ni lazima uandaliwe vifaa vipya vya shule basi hivyo ndivyo ilivyo fanyika lakini hali hiyo haikutimia kwa kijana Hancy kwan baadhi ya vifaa kwake havikua vipya vilikua ni vya zamani kama vile viatu vya shule vya kwake yeye vilikua ni vya zamani tofauti na vya mdogo wake yeye kila kitu kilikua kipya.

Hali hiyo ili mfanya kijana Hancy kujihisi mnyonge nakujiona kua hanasamani hasaminiwi na wazazi wake.

Lakini kutokana na kijana huyu kuwa na moyo wa tofauti kwake yeye aliona sawa tu kwani alikua akiamini kama mwenzie kapewa leo alafu yeye kambiwa kesho ni kwamba kesho chake kitakua kipya ila chaa mwenzie kitakua kimeanza kuharibika akawa anakubaliana na hali kama hizo.

Muda ukazidi kusonga mbele vijana wakaingia kidato cha pili na hatimaye mungu akazidi kuneemesha neema zake mbele ya kijana Hancy ambaye alimuwezesha kufaulu kidato cha pili kwa alama nzuri moja kwa moja vijana wakaingia kidato cha tatu.
Ilipo fikia hatua ya kuchagua combi ktka masomo yao kija na Hancy kutokana na uwezo wake kua wa hali ya juu yeye alichagua science kwa sababu alikua muelewa wa masomo yake.

Kijana aliendelea na masomo yake mpka mungu alipojalia nakufanikiwa kiingia kidato cha nne...................





Itaendelea next time tukutane kujua hatma ya maisha ya Kijana Hancy.