Jumanne, 21 Oktoba 2014

BREAK NEWS.......YP AFARIKI DUNIA..

  Msanii Wa bongo flever kutoka katika kundi la TMK WANAUME FAMILY .."YP....amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katka hospitali ya temeke jijini dar es salaam .....

Chanzo cha kifo cha Yp ni ugonjwa wa kifua ulio msumbua kwa muda mrefu.

Akizungumza na vyanzo vya habari vyetu Bosi wa MKUBWA NA WANAE "Said Fela alisema...YP alikua na tatizo la Kifua lililo msumbua kwa mda mrefu .Alikua akitumia dawa lkn hali yake ilizidi kuwa mbaya tukampeleka hospitalini. Ambako kufikia jana ndio umauti ukamfika. Alisema Said Fela....

Ratiba na mipango ya maziko nitawajulisha ikipangwaaa.....

Uongozi mzima Wa Hancyblog Chini ya Bosi wake mkuu Hancy Abdillahi unawapa pole wanafamilia wote kwa ujumla na wasanii wote kwa ujumla  na taifa nzima kwa kuondokewa na mtendakazi bora ktk huu ulimwengu ."mungu ailaze roho ya Marehemu ("YP") mahala pema peponi Ameen....

YP.KULIA ENZI ZA UHAI WAKEEE..

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni