Jumatatu, 31 Agosti 2015

SIO LATIFA WA DIAMOND TUU...sasa ni SAMEERY wa HANCY....

  Baada ya muda kidoogo toka kijana aliye kua akija kwa kasi katka dimbwi la habari hapa nchini kijana machachari mwenye uwezo wa tofauti katka jamii kukaa kimya kwa mda mrefuuu sana sasa aja kivingine.........................

  Kijana mdogo mwenye uwezo wa ajabu ambae pia ni mmiliki wa blog ya #HANCY BLOG..ame muweka hadharani mtoto wake aliye zaliwa siku ya jumatano ya tarehe 12/8/2015 saa nane mchana katka hospital ya Rufaa ya MAWENZI iliyoko mkoani Kilimanjaro wilaya ya moshi mjini.

  Chanzo chetu cha habari kilimtafuta moja kwa moja kijana huyo na kufanya mahojiano nae..........alisema........

   Namshukuru M/ungu kwa kunijalia kupata Baby boy...nimefurahi sana tena sana kwa kunifanya leo hii kuitwa baba tena kwa kishindo kikubwa ni baada ya mke wangu kipenzi FETTY WHITE..kuniletea katoto kazuri kama mm ..nampenda sana mwanangu SAMEERY sijui nimpe zawad gani ..mke wangu ila naamni zawadi ambayo nitampa ataifurahia sana na moyo wake.....alisema HANCY...ambaye kwa sasa amesimamisha mambo yake ili kua care na mke na mwanae.

  pia alisema watu wakae kwa hamu kwa kumngoja kwani yuko njiani kurudi katka mstari akiwa na new product ambayo alidokeza kua product hyo itakua imebeba jina la mtoto wake aitwae sameery............

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni