Jumanne, 21 Oktoba 2014

BREAK NEWS.......YP AFARIKI DUNIA..

  Msanii Wa bongo flever kutoka katika kundi la TMK WANAUME FAMILY .."YP....amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katka hospitali ya temeke jijini dar es salaam .....

Chanzo cha kifo cha Yp ni ugonjwa wa kifua ulio msumbua kwa muda mrefu.

Akizungumza na vyanzo vya habari vyetu Bosi wa MKUBWA NA WANAE "Said Fela alisema...YP alikua na tatizo la Kifua lililo msumbua kwa mda mrefu .Alikua akitumia dawa lkn hali yake ilizidi kuwa mbaya tukampeleka hospitalini. Ambako kufikia jana ndio umauti ukamfika. Alisema Said Fela....

Ratiba na mipango ya maziko nitawajulisha ikipangwaaa.....

Uongozi mzima Wa Hancyblog Chini ya Bosi wake mkuu Hancy Abdillahi unawapa pole wanafamilia wote kwa ujumla na wasanii wote kwa ujumla  na taifa nzima kwa kuondokewa na mtendakazi bora ktk huu ulimwengu ."mungu ailaze roho ya Marehemu ("YP") mahala pema peponi Ameen....

YP.KULIA ENZI ZA UHAI WAKEEE..

Jumanne, 12 Agosti 2014

HAPPY BIRTHY DAY JOSSE DA DON

josseph CHRISTOPHER MKOMBO BIRTHDAY   8/8/2014

Mnamo tarehe 8/8 Ni siku special. Ya kuzaliwa kwa. Ndugu yetu, rafiki yetu, kaka yetu , Mdogo wetu .JOSSEPH CHIRISTOPHER
Sherehe hiyo ilifika tamati siku ya jumanne katika kumbi Za CAmp Bernard Pub Tabata..
Ambapo katika shereh hiyo walifika watu wengi San ila kwauchache naweza orodhesha majina machache
Alikuepo  Dada mtu huyu si mwingine Ni BABY(mahela) Kaka yake Beny(wa sungura).
Rafiki zake Moses(Kadimu),Humphrey(kishizo),God(godi Mwizi),Hamisi(h.dimpoz) na wa mwisho. Kabisa Ni Hancy(G lover)
Sherehe ili malizika salama salimin na watu walisherekea kwa. Furah napenda kutoa shukrani zangu kwa ndugu yet Joseph Dadon  mungu ampe umri mrefuu

Jumapili, 15 Juni 2014

HANCY AFICHUKA KUHUSU MAHUSIANO YAKE

  Kijana Anaekuja kwa kasi HANCY ABDILLAHI katk tasnia hii ya habari kwa sasa aingia ktk dimbwi zito la penz na msichana mrembo ambae hakutaka kulitaja jina lake ila alicho sema ni kwamba muda ukifika atamuweka bayana akizungumza na chanzo chetu cha habari Hancy alisema........

    ..Imefika kipindi ambacho natarajia kuwa na Mwenza wang ili kuyaendesha Maisha yetu ya badae ikiwa ni pamoja na kutengeneza ama kuunda familia yetu ya badae.
alisema hancy....

Jumanne, 20 Mei 2014

HII NDIO SAFARI YA MWISHO YA MUIGIZAJI NA MUONGOZAJI ADAMU KUMBIANA

Mei 20 saa 9 alasiri ndiyo safari ya mwisho ya Muongozaji na Muigizaji kutoka kiwanda cha.filamu Tanzania Adamu Philip Kuambiana Ambae amepumzika kwenye makaburi ya kinondoni.Mahali alipozikwa Msani Mwenzake STEVEN KANUMBA.
Ujumla wa watu waliojitokeza niwengi sana hasa wasanii wa filamu ambao asilia kubwa wamejitokeza kumzika ADAM KUAMBIANA.

Hizi ni baadhi ya picha za kuanzia leaders wakati wa kutoa heshima za mwisho mpka anazikwa kweny makuburi ya kinondoni

....................................................................