Jumatano, 11 Septemba 2024

Sholo Boy_tz Blog


   Baada ya kimya cha muda mrefu sasa nimeirudisha tena Hancy Blog,imerejea ikiwa na mabadiliko kidogo na kwa sasa itatambulika kwa jina la Sholo Boy_tz Blog. Napenda kuwakaribisha tena wadau na marafiki kwa pamoja tutakwenda kupata matukio na kujisomea habari kemkem kutoka ndani na nje ya nchi.

Jumapili, 1 Mei 2022

HANCY ABDILLAHI IS BACK

.....Baada ya kimya cha muda mrefu kupita .    Uongozi wa Blog Ya HANCYBLOG Chini ya Mkurugenzi mkuu HANCY ABDILLAHI sasa. Mambo ni kama yanaanza upya Waja tena kivingine kaa mkao wa kula......

Jumamosi, 26 Mei 2018

BREAKING NEWS.........!!!!!



Habari kwa watu wa nguvu sio mwingine niyule yule Hancy Abdillahi kijana anae kuja kwa kasi hapa nchini kupitia tasnia ya habari Ni baada ya kukaa kimya kwa mda mwingi sana sasa kijana amerudi tena na kusema ya kwamba "Siku zote kimya kingi kinamaana Kubwa sana hivyo napenda kuwa ahidi marafiki zangu pamoja na Watu wangu wangu woootee mnao nikubali, now ni mda wakazi so tujiandae tufanye kazi nahitaji surpot yenu
Katika Blog ya HANCYBLOG kupitia link ya www.hancyabdillahi.blogspot.com
Unaweza jipatia habari na burudani kem kem kutoka kila kona ya dunia bila kusahau Ku subscribe video zangu kupitia YouTube (Hancy Abdillahi) pia waweza nipata kupitia Facebook (HANCY_BOY_TZ) Instagram (OFFICIAL_HANCY_BOY) twiter(HANCYABDILLAHI2)
Email..Hancyabidillahi@gmail.com
Pia waweza tangaza biashara zako kupitia Blog yetu kwa gharama nafuu kabisa pia waweza nicheki whatsap kwa #0672 868 454.... 

Wote kwa pamoja tukishirikiana tunaweza!

Alhamisi, 9 Novemba 2017

HANCY ABDILLAHI is back

  Habari watu wangu wa nguvu ni Natumaini mko poa Now nimeback tena katka tasnia ya Habari nikiwa katika harakati za kukamilisha usajili wangu na kujitangaza nchi zima Nikiwa kama kijana mwenye harakati na malengo ya kufika mbali nitahakikisha na pambana na kutimiza malengo ya yangu mkiwa kama shabiki wangu nawaomba surpot yenu ili kufanikisha malengo yangu yatimie.

Jumatatu, 31 Agosti 2015

SIO LATIFA WA DIAMOND TUU...sasa ni SAMEERY wa HANCY....

  Baada ya muda kidoogo toka kijana aliye kua akija kwa kasi katka dimbwi la habari hapa nchini kijana machachari mwenye uwezo wa tofauti katka jamii kukaa kimya kwa mda mrefuuu sana sasa aja kivingine.........................

  Kijana mdogo mwenye uwezo wa ajabu ambae pia ni mmiliki wa blog ya #HANCY BLOG..ame muweka hadharani mtoto wake aliye zaliwa siku ya jumatano ya tarehe 12/8/2015 saa nane mchana katka hospital ya Rufaa ya MAWENZI iliyoko mkoani Kilimanjaro wilaya ya moshi mjini.

  Chanzo chetu cha habari kilimtafuta moja kwa moja kijana huyo na kufanya mahojiano nae..........alisema........

   Namshukuru M/ungu kwa kunijalia kupata Baby boy...nimefurahi sana tena sana kwa kunifanya leo hii kuitwa baba tena kwa kishindo kikubwa ni baada ya mke wangu kipenzi FETTY WHITE..kuniletea katoto kazuri kama mm ..nampenda sana mwanangu SAMEERY sijui nimpe zawad gani ..mke wangu ila naamni zawadi ambayo nitampa ataifurahia sana na moyo wake.....alisema HANCY...ambaye kwa sasa amesimamisha mambo yake ili kua care na mke na mwanae.

  pia alisema watu wakae kwa hamu kwa kumngoja kwani yuko njiani kurudi katka mstari akiwa na new product ambayo alidokeza kua product hyo itakua imebeba jina la mtoto wake aitwae sameery............

Jumatano, 28 Januari 2015

Fahamu kuhusu HANCY ABDILLAHI HASSAN hapaa

   HANCY ABDILLAHI HASSAN....nikijana mwenye umri wa miaka 21 kijana huyu amezaliwa katka familia mbili,yani familia ya baba mmoja lakini mama tofauti.

Katika upande wa mama aliye mzaa Hancy wamezaliwa watoto 5.Hancy akiwa ndiye mtoto wa kwanza kwa pande zote mbili. Na kwa upande wa pili Hancy anawadogozake wa 2,.

Katika hali ya kawaida kijana hancy hakuwahi kubahatika kulelewa na mama yake mzazi aliishi na mama yake kwa mda mchae hadi kufika umri wa miaka 4 hancy alichukuliwa na baba yake na kwenda kuishi nae


Hancy alianza maisha mapya akiwa na baba yake mzazi na mama wa kufikia Alipo fikisha umri wa miaka 7,Hancy namdogo wake wa kiume kwa baba walianza elimu ya shule ya msingi katka shule ya msingi Kaloleni mkoa Kilimanjaro wilaya ya moshi mjini.
Kijana Hancy alikua ni kijana mwenyenye uwezo mkubwa kiakili kwani alikua nikijana mwenye kushika nafasi nzuri katka masomo yake.

Hali  hii ilipelekea mpka kijana Hancy kupata bahat ya kupendwa sana na walimu kwa uwezo wake.
Hancy aliendelea vizuri katika masomo yake huku akiendelea kuwa na tabia njema ambayo ili kuwa ikiwafurahisha kila alie kua karbu nae kwani alikua ni kijana alie kuwa akipenda utani na ucheshi na pia alikua mkarimu kwa kila mtu.

Muda mwingi ulipita miaka mingi ikapita kijana Hancy alikua akizidi kukua umri ukizidi kuongezeka akafanikiwa kupita darasa la nne kwa alamA nzuri na kuendelea mbele kidato cha tano.

Muda ulizidi songa na hatimae kijana alifika darasa la saba mungu akazidi kuonyesha uwezo kwa kijana huyo alipo mpa uwezo na akafaulu kwenda kidato cha kwanza. Mwaka 2009 kijana Hancy Abdillahi aliweza kujiunga na kidato cha kwanza katika secondary ya Msasani Sec School.

Hancy alianza shule vyema japo kulikua kuna matatizo madogo madogo yaki famili tofauti katka familia ndipo ilipoanza walipo anza sec mwanzoni wa mwaka 2009 ndipo walipo anza 4m1.kama ilivyo ada kwamba mwanzoni wa mwaka uanzapo shule ama darasa jipya ni lazima uandaliwe vifaa vipya vya shule basi hivyo ndivyo ilivyo fanyika lakini hali hiyo haikutimia kwa kijana Hancy kwan baadhi ya vifaa kwake havikua vipya vilikua ni vya zamani kama vile viatu vya shule vya kwake yeye vilikua ni vya zamani tofauti na vya mdogo wake yeye kila kitu kilikua kipya.

Hali hiyo ili mfanya kijana Hancy kujihisi mnyonge nakujiona kua hanasamani hasaminiwi na wazazi wake.

Lakini kutokana na kijana huyu kuwa na moyo wa tofauti kwake yeye aliona sawa tu kwani alikua akiamini kama mwenzie kapewa leo alafu yeye kambiwa kesho ni kwamba kesho chake kitakua kipya ila chaa mwenzie kitakua kimeanza kuharibika akawa anakubaliana na hali kama hizo.

Muda ukazidi kusonga mbele vijana wakaingia kidato cha pili na hatimaye mungu akazidi kuneemesha neema zake mbele ya kijana Hancy ambaye alimuwezesha kufaulu kidato cha pili kwa alama nzuri moja kwa moja vijana wakaingia kidato cha tatu.
Ilipo fikia hatua ya kuchagua combi ktka masomo yao kija na Hancy kutokana na uwezo wake kua wa hali ya juu yeye alichagua science kwa sababu alikua muelewa wa masomo yake.

Kijana aliendelea na masomo yake mpka mungu alipojalia nakufanikiwa kiingia kidato cha nne...................





Itaendelea next time tukutane kujua hatma ya maisha ya Kijana Hancy.

Jumanne, 21 Oktoba 2014

BREAK NEWS.......YP AFARIKI DUNIA..

  Msanii Wa bongo flever kutoka katika kundi la TMK WANAUME FAMILY .."YP....amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katka hospitali ya temeke jijini dar es salaam .....

Chanzo cha kifo cha Yp ni ugonjwa wa kifua ulio msumbua kwa muda mrefu.

Akizungumza na vyanzo vya habari vyetu Bosi wa MKUBWA NA WANAE "Said Fela alisema...YP alikua na tatizo la Kifua lililo msumbua kwa mda mrefu .Alikua akitumia dawa lkn hali yake ilizidi kuwa mbaya tukampeleka hospitalini. Ambako kufikia jana ndio umauti ukamfika. Alisema Said Fela....

Ratiba na mipango ya maziko nitawajulisha ikipangwaaa.....

Uongozi mzima Wa Hancyblog Chini ya Bosi wake mkuu Hancy Abdillahi unawapa pole wanafamilia wote kwa ujumla na wasanii wote kwa ujumla  na taifa nzima kwa kuondokewa na mtendakazi bora ktk huu ulimwengu ."mungu ailaze roho ya Marehemu ("YP") mahala pema peponi Ameen....

YP.KULIA ENZI ZA UHAI WAKEEE..