Alhamisi, 19 Desemba 2013

HABARI KWA WATU WANGU WANGUVU

Mambo vp watu wangu wa nguvu? naona mko pouwa ile kinoma sana.

Nawaombeni radhi sana kwa kipind kifupi hichi kifupi ambacho nimekua kimya kwa kutowapa habari kemkem kwan kuna tatizo kidogo ambalo lipo nje ya uwezo wangu ila na waahidi mambo yatakaa saw mda sio mrefu na habari zitakua zikiruka hewan ktk mitandao.
Nikiwa na jiandaa kuweka mambo saw na kuboresha mambo nitakuwa nikiwadokezea hari katk page yangu ya hancy fun page &my facebook account Hancy Abdillahi.

TUKO PAMOJA

Jumapili, 15 Desemba 2013

SIMBA WA AFRIKA NELSON MANDELA APUMZISHWA LEO KATK NYUMBA YAK YA MILELE

Rais wa afrika kusin bwana nelson mandela amezikwa leo ktk kijiji chao alicho kulia huko Qunu nchin Afrika kusin.Madiba alikua kiongoz shupavu,jasiri,mwenye hekima na alikua mtu mweny kuchukia ubaguzi wa rangi.

Jumamosi, 7 Desemba 2013

Ijumaa, 6 Desemba 2013

#PICHA ZA UCHI ZA ZIDI KUPAMBA MOTO

Mwana dada mmoja aamua kutupia picha zake alizo piga akiwa nusu uchi. Hii imekua kama mazoea kwa wanadada hawa kwa kupiga picha wa kiwa watupu na kuzisambaza ktk mitandao. Sijui nisemeje kwan sasa imekua kama sugu sasa kwan hawaelewi chochote kila wanapo kanywa tabia hizi wanaiga kutoka nje kwa wenzetu. Watanzania jamani tuache mambo ya kuigaiga kila kitu vingine vinapoteza utamaduni wetu. <<>>

Alhamisi, 5 Desemba 2013

#RAIS MANDELA..........AFARIKI DUNIA

Rais wa kwanza wa Afrika kusini Mh Nelson mandela amefariki dunia.
Rais Mandela ambae ndie rais mweusi wakwanza nchi Afrika ya kusini.alipambana sana katka vita ya ubaguzi wa rangi.

Kutokana na tukio hilo la kihistoria kutokea huko Afrika ya Kusini,Rais wa sasa jACOB ZUMA ametangaza Maombolezo na kuwataka wananchi wote wamuombee akapumzike kwa amani huku bendera ziki pepea nusu mlingoti.
Rais Mandela amefariki akiwa na umri wa miaka 95.

R.I.P NELSON MANDELA

Jumapili, 1 Desemba 2013

PAUL WALKER AFARIKI DUNIA

Msanii muigizaji wa marekani PAUL WALKER amefariki dunia masaa machache yaliyo pita huko katika jiji la LOS ANGLE nchini marekani baada ya ajili mbaya waliyo ipata.

Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi walio kua nao wakati walipo kua wakirejea nyumbani baada ya kutoka katka part.
Paul Walker na mwenzake walikua wakirejea nyumbani na gari yao ambayo alikua akiendesha rafiki yake ambaye nae inasemekan pia ni dereva mzuri sana.
Wakati wakiwa njiani ndio walipo gonga taa ya barabarani na kwenda kugonga mti ulio kua pembeni,na kusababisha gari yao kubinuka vibaya mpaka tairi za gari hiyo zilibasti na kuanza kuwaka moto na kuteketea vibaya.

Paul walker ambae walikua katika maandalizi ya kutoa mwendelezo wa filamu yao ya FAST&FURIOUS 7.
Inasemekana kwamba tutaweza kumuona tena kwa mara nyingine katika filamu hiyo ambayo itatoka hiv karibuni,kwani Paul tayari amesha kamilisha baadhi ya vipande vyake vya kuigiza.

PAUL WALKER amefariki akiw na umri wa miaka 40 ameacha mke na mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 12.

Ametuachia mashabiki wake huzuni kubwa sana ndani ya nyoyo zetu kwani tulimpenda sana ila mumgu alimpend zaidi.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PAUL WALKER MAHALA PEMA PEPONI AMEEN