Alhamisi, 5 Desemba 2013

#RAIS MANDELA..........AFARIKI DUNIA

Rais wa kwanza wa Afrika kusini Mh Nelson mandela amefariki dunia.
Rais Mandela ambae ndie rais mweusi wakwanza nchi Afrika ya kusini.alipambana sana katka vita ya ubaguzi wa rangi.

Kutokana na tukio hilo la kihistoria kutokea huko Afrika ya Kusini,Rais wa sasa jACOB ZUMA ametangaza Maombolezo na kuwataka wananchi wote wamuombee akapumzike kwa amani huku bendera ziki pepea nusu mlingoti.
Rais Mandela amefariki akiwa na umri wa miaka 95.

R.I.P NELSON MANDELA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni