Jumanne, 8 Aprili 2014

WAASISI ZANZIBAR WATOA YA MOYONI

... Rais wa Zanzibar na Mwenyekit wa Baraza la Mapinduz Dk All Mohamed Shein (katikati)akiungana na viongoz wananchi katika kisomo cha hitma iliyosomwa jana ukumbi wa Ccm kisiwandui Mjini Zanzibar wengine ni mastaafu wa Zanzibar Dk Amani Abedi Karume,Makamu wa Rais wa Tanzania Dk Bilalli,Makamu wa pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ally Iddi. Mke wa Marehem Abeid Amani Karume ,Mama Fatma Karume aliwataka vijana kuyaenzi Mapinduz ya Mwaka 1964Kwa kuacha chuki za ukabila,kidini ambazo zina wezakuleta mgawanyiko wanchi wa jamhur ya muungano wa Tanzania aliyasema hayo katka hitma ya hayat karume alieuawa kikatili aprili 7 mwaka 1972 katika jengo la ofis ya Ccm kisiwandui pamoja na viongoz wengine wa chama cha Asp. katika mashambulio hayo aliyekua katbu mkuu wa Asp Shekh Thabit Kombe aliye jeruhiwa kwa kupigwa risasi ya mguu "vijana tuachane na chuki za ukabila na za kidini ambazo zinaweA kuleta mgawanyiko wa wanachi wetu wa jamhuri ya muungano wa tanzania tuishi kama walivyo tuagiza waze wetu alisema. Hitima hyo iliongozwa na kadhi mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji na Kuhudhuriwa na viongoz wa kidini na Serikali,akiwemo Rais wa Zanzirb Dk Alli Mohmedi Shein na wa jamhuri ya muungano wa tanzania Jakaya Kikwete. Katika maelezo yake Mama Fatma alisihi vijana kuishi kama alivyofikiria muasis huyo wa mapinduz ya Znzibar ya kutokuepo kwa ubaguzi wa aina yoyote ile. Alisema ukombozi wa nchi ya Zanzibar umeletwa na mapinduzi ambapo kabla ya hapo hakuna Mwananchi aliyekua na uwezo wa kumiliki ardhi kwa ajili ya kujenga nymba au shughuli za kilimo. "Tunapomkumbuka hayati karume basi tunatakiwa kuyaenzi yale mambo yote mema ambayo yeye aliyasimamia kwa kipindi chote cha uhai wake alisema mama Fatma. Alisema karume alichukia chuki na ukabila zilizo wabagua Waafrika ktk nchi yao.Mambo ambayo kwa kiasi kikubwa ndiyo yaliyo sababisha kufanyika kwa mapinduzi ya Znz ya Mwaka 1964 yaliyoongozwa na karume. Ame.Ambae alipata kushika nyadhifa mbalimbali ktk chama cha asp hadi Cham Cha Mapinduzi alisema karume mara baada ya kuongoza dola alitekeleza manifesto ya chama cha Asp ambayo iliweka kipaumbele suala la wazalendo kumiliki ardhi ambayo ndio uti wa mgongo wa nchi. Katika ghafla hyo Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete ameongoza wananchi nbalimbali katika hitma ya kumbukumbu ya kifo cha rais wa kwanza wa Zanzibar Abeid Amani karume iliyo fanyika ktk ofisi kuu ya ccm kisiwandui mjini zanzibar. Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein aliweka shada la maua katika kaburi la mrehem lililopo pembeni mwa jengo la ofisi kuu ya ccm kisiwandui. Aidha Rais Kikwete aliweka shada la maua katika kaburi la marehemu ambae hadi anauawa alikua makamu wa rais wa Jamuhur ya muungano wa Tanzania

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni