Jumapili, 6 Aprili 2014

Matokeo ya Uchaguzi Jimbo la Chalinze ya zidi kuongezeka

  Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK.JAKAYA MRISHO KIKWETE akisoma karatasi ya kupigia kura kumchagua Mbunge wa jimbo la chalinze kwenye kituo cha kupigia kura cha zahanati MSOGA

# Rais jakaya mrisho kikwete akiwa kwenye chumba cha kupigia kura za kumchagua mbunge mpya wa jimbo la chalinze# Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitumbukiza karatasi yake ya kura katika sanduku la kura akimchagua mbunge wa jimbo la Chalinze # Mke wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mama Salma Kikwete nae akitumbukiza karatasi yake ya kura katka uchaguz wa mbunge jimbo la Chalinze# Aziza mtoto wa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akimsaidia baba yake karatasi yakura katka sanduku la kura.Ridhiiwa alijipigia kura yake mwenyewe kata ya bwilingu# Mgombea wa ubunge jimbo la Chalinze Ndugu Ridhiwani Kikwete akihakiki taarifa zake kabla ya kupiga kura kwenye kituo cha ofisi ya mtendaji kata namba 3Bwilingu Chalinze# Mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze kuipitia chama cha Afp ndugu Ramadhani Mgaya akizungumza na waandishi wa habari nje ya kituo cha ofisi ya mtendaji kata namba 1nakusema kuwa chama chake kitakubali matokeo yote napia kama watashindwa watajipanga kwa ajili ya uchaguzi mkuu 2015.# Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Jimbo la Chalinze Ndugu Samweli Salinga akizungumza na waandishi wa habari na kutoa tathimini ya Jinsi zoezi la upigaji kura lilivyoenda. "Wananchi wa jimbo la chalinze wamemaliza kupiga kura ba tayari baadhi ya vituo matokeo yameanza kujulikana ambako matokeo hayo sio rasmi yanaonyesha Mgombea wa CCM Ridhiwani Kikwete anaongoza na wengine wakimfwata nyuma.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni