Alhamisi, 28 Novemba 2013

WAINGIA MITINI BAADA YAKUAMBIWA WAKAPIME UKIMWI NA BABA KANUMBA

  Baba wa marehemu Steven Kanumba,Charles Kusekwa afunguka kuwa baada ya kutangaza kwa wanawake wanaotaka uzao wake wajitokeze azae nao,Wamejitokeza kumi lakini akawapa masharti yakawashinda.Akizungumza na Mwandishi wetu,Baba Kanumba aliweka bayana kuwa warembo hao walijitokeza akawapa sharti lakwenda kupima ukimwi lakini ajabu wote waliingia mitini.

"wamejitokeza vizuri lakini nashangaa wote wamekua wazito katka suala la kupima Ukimwi wameingia mitini kama wapo wengine watakao limudu sharti hilo na wakaribisha"Alisema baba Kanumba.

NORAH AFUNGUKA NA YAKE:ADAI LAANA ALYO WAACHIA RAY NA JOHARI SASA YA FANYA KAZI

Bada ya hivi karibuni staa wa filamu bongo Ruth Suka 'Mainda' kueleza mazito kuhusu Ray, Johari,na Chuchu hans,Msanii mwenzake.Nuru Nasoro,"Nora" nae amefunguka kuwa laana ya walichomfanyia miaka ya Nyuma itawatesa Ray na Johari mpaka kifo chao. Akizungumza na Gpl,Nora alisema Ray na Johari walimfanyia mambo mabaya yalio sababisha kupotea kabisa kwenye sanaa ya filamu hadi alipoibuka upya hivi karibuni. "kinacho wasumbua Ray na Johari ni laana yangu ba kweli nimeamini Mungu analipa hapahapa dunia kwani walinifanyia mambo ya Ajabu,wakanipoteza kabisa kwenye fani,walinifanya ni changanyikiwe wakijua sita pona,lakini sasa hawaelewani tena wakati walikua wanapendana kama pete na kidole". "Nakumbuka zamani nilikua nikishonea nywele nzuri lazima Ray naye akamnunulie Johari kama hizo za kwangu alimtengeneza Johari akawa anaigiza kama mimi na kujifanya yeye ndio mimi mpaka walipo nipoteza kwenye fani. "Namshukuru Mungu nimejikongoja na hatimaye nimerudi tena kwenye sanaa mabata waliyo kuwa wakinifanyia ya mewarudia wenyewe,jamani mwacheni Mungu aitwe Mungu kwani nakesha nikiomba na nina amini maadui zangu wote wataumbuka mchana kweupeeeee." Alisema Nora.

Jumatano, 27 Novemba 2013

KITALE ATOA YA MOYONI SIKU AKIFA

Muigizaji na mwimbaji nchini Kitale yuko Tanga alipoenda kuhudhuria Dua ya kumuombea marehemu Sharo Milionea ikiwa ni mwaka mmoja tangu afariki dunia kwa ajali mbaya ya gari.

Kitale ambaye ndiye msanii pekee aliye fika tanga siku juzi amesema kuwa amejifunza mambo mengi  katika msiba wa rafiki yake Sharo milionea,Ikiwa ni pamoja na misiba ya wasanii wengine  waliotangulia mbele ya haki Kanumba na Sajuki.

Akiongea kwa njia ya simu na Edson Mkisi katika kipind cha hatua tatu cha 100.5times fm, kitale amesema kutokana na funzo alilo pata amempa ujumbe mama yake ili kwamba pindi atakapo tangulia mbele za haki mambo hayo yasijirudie kwake.

"nimejifunza vitu vyingi na nimejua marafiki walio wema na marafiki wasio wema.Ina maana kwamba kuna marafiki wanafiki na wasio wanafiki .amesema kitale

"kuna vitu vingi ni mejifunza baada ya kuondoka marehemu Steven Kanumba,ni mejifunza baada ya kifo cha Sajuki.Nimejifunza vitu vingi sana sana!:.amesisitiza

"Ina maana hata mimi kama nita tangulia kuna mambo ambayo nimesha mweleza mama yangu na nimesha ieleza familia yangu na fikiri hakitakuja kutokea kama kilicho tokea kwa wenzangu.Nimeji funza vitu vingi hasa ukiwa msanii......kitale aliiambia hatua tatu.
Hata hivyo kitale alikataa kuelezea ujumbe huo na kudai nu siri kati yeye na familia yake kwa kuwa hafahamu nani atatangulia kati yake na Wazazi wake.
Kitale amewashauri wasanii kumkumbuka mungu wakati wanapoendelea na shughuli zao na ndio sababu watu wengi wanaamin kuwa asilimia kubwa ya wasanii ni "FREEMASON',na kwamba hiyo ina tokana na kitendo cha wasanii hao kumsahau Mungu wao.
  Siku kama jana mwaka uliopita (november 27,2012)ndio siku ambayo marehemu Sharo Milionea alizikwa huko Tanga.

UKWELI KUHUSU WASTARA NA BOND HUU HAPA

Juzi na jana kulikua na habari,katika magazeti na mitandao mingi kuwa Wastara na Bond Bin Suleiman ni wapenz na wanekua wakifanya siri sana huo uhusiano wao.Habari ambazo zilizagaa zilisema huenda Bond anatabia ya kufanya mapenz kinyume na maumbile na mwanamke kwani aliye kua mpenzi wake wa zamani Lulu Semagongo(Anti Lulu)alidaiwa kuwahi kukaririwa akisema kuwa anapenda sana kufanya mapenzi kinyume na maumbile na hawezi kuacha tabia hiyo.

Baada ya habari hizo kusambaa ilibidi kuwatafuta mastaa hao wawili na wa kwanza kupatikana alikua ni wastara na alikana kuwa katika penzi na Bond ila alisema wanafanya kazi pamoja kwani kwa sasa wanashuti filamu mpya ya Bond inaitwa UAMINIFU DHAIFU.aliongeza kwa kusema kuwa Bond ni kama kaka yake."sina mahusiano na Bond zaid ya kikazi na zile picha zote ambazo unaziona ni wakati tupo location tukiandaa filamu yake inaitwa UAMINIFU DHAIFU,huo ndio ukweli,bora angekuwepo mume wangu haya yote yasingetokea."
Baada ya hapo ilibidi kumgeukia Bond ambaye yupo location wakimalizia filamu hiyo na alipoelezewa hayo alisema hana uhusiano wakimapenzi na Wastara na picha zinazodaiwa kuwa ni wapenzi ni za filamu mpya ambayo tuliweka hata hapa kwenye Blog yetu.alisema kuwa huyo Anti lulu anatafuta kuandikwa tu kwenye magazeti ndiyo maana anatoa habari zisizo za ukweli ili kujipatia umaarufu"SIO KWELI NI PICHA ZA KAZI TU,LULU ACHANA NAE ANATAFUTA KUANDIKWA,TULISHAA ACHANA KITAMBO WALA HATUNA MAWASILIANO.

Baada ya kulinasa penzi la Bond,Wastara aonywa kuhusu Ngono za. kinyume na maumbile.

Msanii nyota kwenye kiwanda cha Bongo Muvi Wastara amepewa tahadhari kubwa na mashabiki wake kuhusu mpnzi wake mpya ambae ni prodyuza wa filamu.aliye fahamika kwa jina la Bond Bin Sinnon kuwa amekuwa akipenda sana mapenzi kinyume na maumbile.

Habari nilizo ziipata zina sema Bond ambae aliwahi kua na mahusiano ya kimapenzi na mtangazaji Lulu Semagongo kwa zaidi ya miaka 4 na nusu ambae aliwahi kukiri kwenye vyombo vya habari hasa magazeti pendwa kuwa yeye mzuka wake ni kufanya mapenzi nyuma ya maumbile tangu akiwa mdogo.Hivyo basi hali imetiliwa shaka na mashabiki wa Wastara kuwa kwa vile wawili hao wameonekana kuwa na mahusiano ya kimapnz basi dhahiri kuwa wastara awe makini la sivyo kijana huyo anaweza kuendeleza tabia yake hiyo aliyo kuwa anaifanya kwa lulu.

Inasemekana Bond ambae tangu aachane na Lulu hakuwahi kuwa na mpenzi hata siku moja"huyo Bond anaogopwa sana na mabinti kwa sababu ya kauli ya Lulu alipotangaza kuwa yeye mzuka wake ni kufanya mapenzi kinyume na maumbile hivy hakuna msichana yoyote anaemkubali kwa hofu hiyo hivyo hata Wastara tunashangaa wamepatana kiasi hicho" kilisema chanzo kimoja.

Mahusiano ya Bond na Wastara yalianza kwa siri sana lakini sasa hivi kila kitu wazi hadi ndugu wa wastara wanamjua Bond kama shemeji yao.
Mapaparazi walifunga safari hadi Tabata jirani na anapoishi Wastara ilu kupata ubuyo(umbea).majirani walifunguka.
"Aah na nyie waandishi mko wapi siku zote bwana?Wastara na Bond ni mke na mume mbona wala hakuna kificho tena Wastata sasa amerejesha furaha ya maisha kwa malavidavi ya Bond ambapo waishi pamoja kupika na kupakua

Haya sasa Steven wa RNB achoka kuwa bachelar

Nijambo la kawaida kwa wasanii wa bongo flava hasa wakubwa kama steve wa RnB kutembea na kila demu mzuri hapa bongo.lakin kwa steve ni tofauti kabisa kwani amefanikiwa kumvisha pete ya uchumba high school sweetheart wake. Ramour has it kwamba Steve RnB ba huyu mrembo wametoka mbali na wamekua wapenzi wa muda mrefu hadi wameshawahi kufukuzwa shule pamoja.

Jumapili, 24 Novemba 2013

p-square. wafanya yao

Mkuu wa kitengo cha vodacom foundation,Yesaya Mwafifulefule wakipeana mikono na wasanii kutoka nchini Nigeria(Peter&Paul Okoye) P-square. Wakati walipo tembelea kituo cha watoto wenye ulemavu wa utindio wa ubongo cha Msimbazi Mseto jijini dar es salaam,ambapo wasanii hao walitoa msaada kwa watoto hao wenye ulemavu huku ikiwa ni njia moja ta kushiriki kazi ya jamii

JE UNAFAHAMU JINSI YA KUMHANDLE MPENZI WAKO AKARIDHIKA NAWE.

Watu wengi hukurupuka sana ktk swala la mapenzi,ndo maana kila kukicha hakuishi vurugu ktk mahusiano,kuvunjika kwa ndoa.

Wewe kama mwanamke au mwanaume yakupasa kufanya jambo lolote ambalo unajua nikimfanyia mpenz wangu hili jambo jema ama nikimuonyesha aina hii ya mapenz, basi lazima azidi kunipenda na kamwe hato kusaliti kutokana na kumridhisha kwa kila idara .

HATA SS TUNAWEZA BANAA

Katika hali ya kushangaza zaid Mama mmoja mwenye ujauzito afanya kitu ambacho kili waacha watu midomo wazi wakushangaa junsi mwana mama huyo akifanya mazoezi,mwana mama huyo mjamzito alikua akifanya mazoez ys kuinua chuma juu.
Alipo kua akiulizwa maswali Mama huyo alijibu kuwa anafanya mazoezi.

hapa kweli lazima tuukubali ule usemi usemao hata ss tuna weza.

Je wajua kilicho waponda Zitto na wenzake.

Juzi uongozi wa Chadema ulichukua hatua kali za kuwavua nadaraka ndani ya chama hicho vigogo watatu.Naibu katibu mkuu Zitto Kabwe,Mjumbe wa kamati kuu,Dk Kitilla Mkumbo na Mwenyekiti Mwigamba.

RAIS KIKWETE ATOA NENO

Rais Jakaya Kikwete amesema wajibu mkubwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi ni kuisemea vizuri,kuihangaikia na kutetea nchi badala ya kushinda kwenye mablogu wa kiponda,kuibeza na kulalamika.Aidha rais Kikwete amesema kuwa kuishi kwa watanzania nje ya nchi kutaonekana jambo la maana zaidi ikiwa watatumia rasilimali na fursa wanazo zipata ugenini kusaidia kubadilisha halu na maisha ya ndugu zao waliobakia Tanzania.

Rais kikwete pua amewaonya Watanzania hao wasije kuchanganyikiwa na kujichanganya wenyewe kwa kuiga tamaduni za kigeni.

Rais Kikwete aliyasema hayo. alipo zungumza na Watanzania waishio nchin Poland.

Aidha Rais Kikwete alisisitiza
"mbona kazi za mangosi mnazifanya vizuri bila kusukumwa,ama kushawishiwa lakini kazi za kusaudia ndugu zenu hamfanyi hata kama ha muwezi kuwasaidia ndugu zenu mnachangia nini nchi yenu"?

mwisho akasema.........
"msiingize mambo ya kigeni kiasi cha kuanza kuchanganyikiwa.

MAUWAJI YA KUTISHA YA ZIDI KUTIKISA JIJI

Mwanafunzi aliyehitimu kidato cha4 mwaka huu,Sharifa Abdallah(18) ameuawa kwa kuchomwa kisu cha shingo na mbavuni chumbani kwa mvulana aliyedaiwa kuwa mpenzi wake maeneo ya kimara golani,dar es salaam.

Tukio hilo lilitokea juzi saa 8:30 mchana na baadae mvulana huyo aliyetambuliwa na polisi kwa jina la Abduli Alpha(22)kujisalimisha ktk kituo cha polisi cha stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani cha ubungo.akidai alikua akitaka akitoroka lakini aliona amefanya dhambi kubwa.

Mama mkubwa wa Marehemu,Mwajuma Khamisi alisema Sharifa alimaliza kidato cha nne ktk sekondari ya Uguluni na alikua akisubiria matokeo.

Alisema juzi waliporejea kutoka kazini hawakumkuta nyumbani waliulizia kwa ndugu kutokana na kwamba hakua na tabia ya kutoka nyumbani,lakini hawakufanikiwa kumpata hadi jioni ndipo polisi walipo wataarifu kupatikana kwa mwili wake kamanda wa polisi Wa mkoa wa Kinondoni,Camilius Wambura alisema baada ya kumhoji mtuhumiwa,alisema akifanya hivyo kutokana na wivu wa kimapenzi,kwani alikua na uhusiano na msichana huyo lakin wazazi wa msichana hawakutaka amwoe hvyo kumtaarifu kuwa amepata mchumba mwingine.

Ijumaa, 22 Novemba 2013

FAHAM KUHUSU HALI YA RAIS WA NIGERIA

Rais wa Nigeria,Gudluck Jonathan anaendelea kupokea matibabu mjini londoni lakini wasaidizi wake wamesema kuwa hali yake sio mbaya sana.
Raus Gudluck alikwenda mjini london kwa mkutano ingawa hakuweza kuhudhuria mkutano wenyewe.

"tunge penda tuwahakikish kuwa rahisi Jonathan hayu ktk hali mbaya"alisema msaidiz wake Reuben Abat.
Alisema matibabu aliyo kuwa anapokea Rais huyo mwenye umri wa miaka56,ni ya kuzuia tu hali yaje kua mbaya.
Rais Jonathan amekua Rais tangu mwaka 2010.baada ya Mtangulizi wake hayati UMATI YAR AD alifariki akiwa madarakani.
Bwana Jonathan pia anakumbwa na mugawanyiko mikubwa ya chama. huku wapunzani wake wakilumbania madaraka kabla ya uchaguzi 2015.
Pia anakabiliwa na wakati mgumu kupambana dhidi ya harakati za kundi la BOKO HARAMU kaskazin mwa Nigeria.

Kimenuka chadema

Jinamizi Lazidi kuitafuna CHADEMA...Baada ya Zito kuvuliwa nyadhifa zake zote Ndani ya chama, Makamu mwenyekiti CDM bara naye atangaza kujiuzulu Leo..!!: kwa habari zaidi hapa http://www.gumzolajiji.com

Yaliyo jiri katika hukumu ya Babu Seya na Mwanae Papii Kocha

Mahakama ya rufaa tanzania imetupia mbali ombi la watuhumiwa wa wili Nguza viki na mwanae Papii kocha,ambao waliomba mahakama hiyo kufanya marejeo ya uamuzi wake wa awali wa kuwapata na hatia kama ambavyo hukumu dhidi yao ilivyo tolewa ilivyo tolewa na mahakama ya Hakimu mkazi kusutu Mwaka 2004.
Nguza viking,maarufu kama Babu Seya na watoto wake watatu walihukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya kubaka na kulawiti watoto.
Mwaka 2010 rufaa yao ilisikitizwa katika mahakama ya rufaa na kuwa achia huru Nguza Mashine. na Fransic Nguza baada ya kuwaona hawana hatia katika makosa yote waliyo shitakiwa.
Baada ya rufaa hiyo,Babu seya na Paaapi koocha walipatikana ma hivyo kuendelea na kifungo cha jela.
Alhmisi,mahakama ya rufaa baada ya kufanya mapitio ikiwa chini ya majajai watatu imesema watuhumiwa hao wana hatia na wataendelea kutumikia adhabu yao.
Wakili wa mwimbaji huyo mabene Marando amesema kuwa mwanamuziki huyo hana matumaini ya kutoka tena.

Jumatano, 20 Novemba 2013

Timu Tano za Afrika za fuzu kombe la dunia

Timu 5 za Afrika za fuzu kwenda kucheza kombe la dunia nchini Brazili timu hizo ni Algeria,Nigeria,Ivory coast,Cameron&Ghana.

Timu ya soka ya Algeria Timu ya Soka na Nigeria Kikosi cha timu ya Ivory cost Kikosi cha timu ya Cameron Kikosi cha timu ya Ghana

Kim Paulsen aridhishwa na kiwango cha wachezaji wake.

Baada ya timu ya soka ya taifa stars kutoka sare ya 0-0 na timu ya taifa ya Zimbabwe ktk mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliopigwa mjini dar es salaam nchin tanzania.
Tanzania ilishindwa kutumia nafasi kadhaa ilizo pata na hasa katika kipind cha kwanza ambacho walicheza vizuri.
Ikiwatumia wachezaji wake nyota wanne wanao cheza soka la kulipwa nje ya nchi. Hata hivyo tanzania waliwabana wageni wao ambao walicheza kwa kiwango kizuri kwenye kipindi cha pili.
Awali timu ya tanzania ilikua icheze na timu ya taifa ya Kenya kabla ya Kenya kujiondoa katika mchezo huo kutokana na matatizo ya maandilizi yatimu yao.
Mbali na kujipima nguvu Tanzania imetumia mchezo huo wa kirafiki kujiandaa na mashindano ya kombe la Cecafa kwa nchi za A/mashariki

Baada mchezo huo kumalizika kocha wa timu ya taifa stars Kim Paulsen asema ameridhishwa na kiwango cha wachezaji wake katika mechi iliyochezwa ktk uwanja wa Taifa jijini dar es salaam timu hizo zilitoka suluhu bila kufungana.

Jumanne, 19 Novemba 2013

Jumatatu, 18 Novemba 2013

Upungufu wa ajira kwa wanafunzi

Kutokana na upungufu wa ajira kwa wanafunz wanaohitimu vyuo na taasisi mbalimbali za elimu ya juy nchini,baadhi ya taasisi hizo zimependekeza wahitimu wao kuajiriwa moja kwa moja na serikali,huku zingine zikiwapa changa moto wahitimu wao kuajiri na kutengeneza ajira kwa wengine.

Juzi ktk mahafali ya 19 ya Chuo cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka(SLADS)kilichopo Bagamoyo,chuo hicho kilitoa rai kwa mgeni Rasmi.Waziri mkuu,Mzingo Pinda,kuona uwezekano wakuwapatia nafasi za ajira za moja kwa moja wanafunzi wa chuo hicho serikalini. Akizungumzia ombi hilo,Pinda ofisi yake itazungumza na idara ya utumishi na rais Jakaya Kikwete kuangalia uwezekano wa kutoa ajira hizo moja kwa moja kama ilivyo kwa waalimu.

Hili moja nitalichukua , nitazungumza na idara ya utumishi wa Rais wangu tuangalie namna ya kundi hili kulipa nafasi kama ilivyo kwa waalimu.
"Kundi linamchango mkubwa ktk kukuza elimu yetu hapa nchini tukiwa na maktaba na wataalam. Ita wasaidia hata walimu wetu kujifunza na kwenda kutoa elimu bora kwa wanafunz, alisema

Pia aliagiza Halimashauri kujenga maktba za wilaya.Alisema wilaya 19 pekee ndizo zenye maktaba ya wilaya na zilibaku;133 hazina huduma hyo jambo alilo sema linawakosesha wananchi wa maeneo hayo kupata maarifa stadi na taarifa mbali mbali.

Ina kadiriwa nchini kuna maktaba600 za ngazi tofauti zkiwemo zaidi ya maktaba 26 za vyuo vikuu :::,22 za mikoa kati ya mikoa 25 na wilaya 19.

Takwimu zinaonyesha upo upungufu wa maktaba zaidi13,000 nchini. Wakati (SLADS)wakiomba ajira za moja kwa moja serikaluni.Mkuu wa Chuo kikuu cha Dar es salaam(UDSM) Proffesa Rwekeza Mukandala amewataka wahitimu ktk chuo hcho kwenda kuzalisha ajira kwa wengine.Professa Rwekeza Mukandara amewataka wahitimu hao ktk mahafali ya 43 ya chuo hicho yalilyo fanyika juzii jijini Dar es salaaa, kutumia elimu waliyopata kutoajira kwa vijanaa wengine,kwa kuwa elimu hiyo ni ya jamii na sio yao binafsi

Waziri mkuu mh mizengo pinda

KWELI MCHINA NOMAAAA

Kweli hakuna lishindikalo chini ya juu mtu mmoja nchini china amiliki sm kam kabati mtu huyo huwenda akawa anapata tabu wakati wa kutembea nayo kwan simu hy haitoshei hata mfukon kwani ni simu kubwa kama sanduku la nguo.

Jumamosi, 16 Novemba 2013

MAREHEM DR SENGONDO AAGWA

Hali ya uzuni ikiwa imetawala pale ambako mwili wa aliyekua Mkurugezi wa katiba,sheria ya haki za binadamu wa NCCR,Dr Sengondo Mvungi  Umeagwa leo ktk viwanja vya Karimjee jiji dar es salaam ambapo wameji tokeza watu mbalimbali wakiwemo wanasheria wenzake,viongozi wa serikali,walimu wa vyuo na wengine wengi. Wakijianda kwa safari ya kwenda kwenda kumpumzisha mwalimu wetu,kiongozi wetu,mpendwa wetu Dr Sengondo Mvungi. Katika mkazi yake ya milele ambako watakwenda kumpumzisha mkoani Kilimanjaro wilaya ya Mwanga

    Mwili wa dr Sengondo ukiwa ndani ya sanduku

Mungu ailaze roho ya marehemu Dr Sengondo Mvungi mahala pema peponi Ameen

Ijumaa, 15 Novemba 2013

HANCY BLOGY-Mauchafu ya zd kupamba moto

Haya ni mambo ya sio faaa hembu tazama jini mwanadada huyu na mbaba mtumzima walivyo kosa haya halafu tujiulize watanzania ni wapi tunaelekea?

baba akikamatia mashine
Ukweli jamani sasa dunia imefika mwisho baba huy kakosa haya kabisa yan kajisahau  kabisa kama yy ni baba mwenye watoto kadhaa

Jamani wee baba huyo si binti yako wa kumzaa jamani mambo gani tena hayo

Hancy blog

Wabunge Halima Mdee na Zitto Kabwe pamoja na Mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya ipp,Reginald Mengi wa metoa maoni yao kuhusiana na kifo cha aliyekua mkurugenzi wa Katiba,Sheria na haki za binadamu wa NCCR Mageuzi.Dk Sengodo Mvungi aliye fariki dunia jana alasiri nchini Afrika kusini alipokua akipatiwa matibabu baada ya kujeruhiwa na watu wanaosadikiwa ni Majambazi

Picha ya dr Sengodo Wakati wa uhai wake Reginald Mengi@regmengi Tunapoomba mungu ailaze roho ya Dr Mvungi mahalu pema peponi. Kwa ukatili huu watu tuji ulize tumefikaje hapa na tunaelekea wapi. R.I.P Dr Mvungi Zitto Kabwe Mwalimu Sengodo Mvungi,baba wa rafiki yangu Dr Natujwa Mvungi, mmoja wa wataalam mahiri wa maswala ya katiba . Umetutoka ukiwa kwenye kazi ya kihistoria kazi ya kuandika katiba yetu.Umetangulia kabla kazi haijaisha ni wajibu kuimalizia kazi hii kukuenzi.Tangulia mwalimu wetu tuna mshukuru mola kwa yote

Alhamisi, 14 Novemba 2013

HANCY BLOG

Mwana dada mmoja amua kujianika live mtandaoni huku akiwa amejivalia nguo ambayo ina muonyesha kama vile hakuna kitu chochote.

Kwasasa imekua kumekua na hali ya kusikitisha kwa wanadada hao ambo wamekua waki weka picha zao kwenye mitandao ya kijamii

Huku nikuji zalilisha

Hivi kweli tutafika kama mambo yenyewe ndio hivi Wakina dada kwa kweli mnatakiwa mbadilike na kua mfano wa kuigwa kwani huu ni uzalilushaji. Hembu jitunze na ujiheshimu halafu uone kwako mambo ya takavyo kua yani kila mtu atakuheshimu.

MICHUZI BLOG: UGONJWA WA KISUKARI WAENDELEA KULETA MADHARA , WATANZANIA WATAKIWA KUJENGA TABIA YA KUPIMA AFYA NA KUFANYA MAZOEZI

MICHUZI BLOG: UGONJWA WA KISUKARI WAENDELEA KULETA MADHARA , WATANZANIA WATAKIWA KUJENGA TABIA YA KUPIMA AFYA NA KUFANYA MAZOEZI

MKONO WA POLE

Ni baada ya kufariki dunia kwa mheshimiwa Dr EDMONDI MVUNGI,baada ya kusha mbuliwa vibaya na majambazi wa sio julikana na kuondoka na baadhi ya nyaraka zake.

Raisi wa Jamuhuri ya muungano wa tanzania  Mh JAKAYA MRISHO KIKWETE apeleka salamu za pole kwa familia ya Dr edmond ikiambatana na kutia sain ktk kitabu cha kumbukumbu.

Mungu ailaze roho ya marehu DR EDMOND MVUNGI mahala pema peponi  AMEEN

UHARAMIA WA ZIDI

Shehena ya meno ya tembo ya kamatwa

Diamond akiwa mzee

Katik hali ya kustaajabisha ktk mitandao ya kijamii ni mekutana na habari kubwa ikidai kua msanii wa kizazi kipya mwenye mafanikio makubwa Diamond aka platnium,inasemekana baada ya miaka kazaa atakua na muonekano mwingine na xikionekana picha zake za baadae

Hatari