Ijumaa, 22 Novemba 2013

FAHAM KUHUSU HALI YA RAIS WA NIGERIA

Rais wa Nigeria,Gudluck Jonathan anaendelea kupokea matibabu mjini londoni lakini wasaidizi wake wamesema kuwa hali yake sio mbaya sana.
Raus Gudluck alikwenda mjini london kwa mkutano ingawa hakuweza kuhudhuria mkutano wenyewe.

"tunge penda tuwahakikish kuwa rahisi Jonathan hayu ktk hali mbaya"alisema msaidiz wake Reuben Abat.
Alisema matibabu aliyo kuwa anapokea Rais huyo mwenye umri wa miaka56,ni ya kuzuia tu hali yaje kua mbaya.
Rais Jonathan amekua Rais tangu mwaka 2010.baada ya Mtangulizi wake hayati UMATI YAR AD alifariki akiwa madarakani.
Bwana Jonathan pia anakumbwa na mugawanyiko mikubwa ya chama. huku wapunzani wake wakilumbania madaraka kabla ya uchaguzi 2015.
Pia anakabiliwa na wakati mgumu kupambana dhidi ya harakati za kundi la BOKO HARAMU kaskazin mwa Nigeria.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni