Jumatano, 20 Novemba 2013

Kim Paulsen aridhishwa na kiwango cha wachezaji wake.

Baada ya timu ya soka ya taifa stars kutoka sare ya 0-0 na timu ya taifa ya Zimbabwe ktk mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliopigwa mjini dar es salaam nchin tanzania.
Tanzania ilishindwa kutumia nafasi kadhaa ilizo pata na hasa katika kipind cha kwanza ambacho walicheza vizuri.
Ikiwatumia wachezaji wake nyota wanne wanao cheza soka la kulipwa nje ya nchi. Hata hivyo tanzania waliwabana wageni wao ambao walicheza kwa kiwango kizuri kwenye kipindi cha pili.
Awali timu ya tanzania ilikua icheze na timu ya taifa ya Kenya kabla ya Kenya kujiondoa katika mchezo huo kutokana na matatizo ya maandilizi yatimu yao.
Mbali na kujipima nguvu Tanzania imetumia mchezo huo wa kirafiki kujiandaa na mashindano ya kombe la Cecafa kwa nchi za A/mashariki

Baada mchezo huo kumalizika kocha wa timu ya taifa stars Kim Paulsen asema ameridhishwa na kiwango cha wachezaji wake katika mechi iliyochezwa ktk uwanja wa Taifa jijini dar es salaam timu hizo zilitoka suluhu bila kufungana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni