Mahakama ya rufaa tanzania imetupia mbali ombi la watuhumiwa wa wili Nguza viki na mwanae Papii kocha,ambao waliomba mahakama hiyo kufanya marejeo ya uamuzi wake wa awali wa kuwapata na hatia kama ambavyo hukumu dhidi yao ilivyo tolewa ilivyo tolewa na mahakama ya Hakimu mkazi kusutu Mwaka 2004.
Nguza viking,maarufu kama Babu Seya na watoto wake watatu walihukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya kubaka na kulawiti watoto.
Mwaka 2010 rufaa yao ilisikitizwa katika mahakama ya rufaa na kuwa achia huru Nguza Mashine. na Fransic Nguza baada ya kuwaona hawana hatia katika makosa yote waliyo shitakiwa.
Baada ya rufaa hiyo,Babu seya na Paaapi koocha walipatikana ma hivyo kuendelea na kifungo cha jela.
Alhmisi,mahakama ya rufaa baada ya kufanya mapitio ikiwa chini ya majajai watatu imesema watuhumiwa hao wana hatia na wataendelea kutumikia adhabu yao.
Wakili wa mwimbaji huyo mabene Marando amesema kuwa mwanamuziki huyo hana matumaini ya kutoka tena.
Ijumaa, 22 Novemba 2013
Yaliyo jiri katika hukumu ya Babu Seya na Mwanae Papii Kocha
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni