Jumatano, 27 Novemba 2013

UKWELI KUHUSU WASTARA NA BOND HUU HAPA

Juzi na jana kulikua na habari,katika magazeti na mitandao mingi kuwa Wastara na Bond Bin Suleiman ni wapenz na wanekua wakifanya siri sana huo uhusiano wao.Habari ambazo zilizagaa zilisema huenda Bond anatabia ya kufanya mapenz kinyume na maumbile na mwanamke kwani aliye kua mpenzi wake wa zamani Lulu Semagongo(Anti Lulu)alidaiwa kuwahi kukaririwa akisema kuwa anapenda sana kufanya mapenzi kinyume na maumbile na hawezi kuacha tabia hiyo.

Baada ya habari hizo kusambaa ilibidi kuwatafuta mastaa hao wawili na wa kwanza kupatikana alikua ni wastara na alikana kuwa katika penzi na Bond ila alisema wanafanya kazi pamoja kwani kwa sasa wanashuti filamu mpya ya Bond inaitwa UAMINIFU DHAIFU.aliongeza kwa kusema kuwa Bond ni kama kaka yake."sina mahusiano na Bond zaid ya kikazi na zile picha zote ambazo unaziona ni wakati tupo location tukiandaa filamu yake inaitwa UAMINIFU DHAIFU,huo ndio ukweli,bora angekuwepo mume wangu haya yote yasingetokea."
Baada ya hapo ilibidi kumgeukia Bond ambaye yupo location wakimalizia filamu hiyo na alipoelezewa hayo alisema hana uhusiano wakimapenzi na Wastara na picha zinazodaiwa kuwa ni wapenzi ni za filamu mpya ambayo tuliweka hata hapa kwenye Blog yetu.alisema kuwa huyo Anti lulu anatafuta kuandikwa tu kwenye magazeti ndiyo maana anatoa habari zisizo za ukweli ili kujipatia umaarufu"SIO KWELI NI PICHA ZA KAZI TU,LULU ACHANA NAE ANATAFUTA KUANDIKWA,TULISHAA ACHANA KITAMBO WALA HATUNA MAWASILIANO.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni