Ijumaa, 15 Novemba 2013

Hancy blog

Wabunge Halima Mdee na Zitto Kabwe pamoja na Mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya ipp,Reginald Mengi wa metoa maoni yao kuhusiana na kifo cha aliyekua mkurugenzi wa Katiba,Sheria na haki za binadamu wa NCCR Mageuzi.Dk Sengodo Mvungi aliye fariki dunia jana alasiri nchini Afrika kusini alipokua akipatiwa matibabu baada ya kujeruhiwa na watu wanaosadikiwa ni Majambazi

Picha ya dr Sengodo Wakati wa uhai wake Reginald Mengi@regmengi Tunapoomba mungu ailaze roho ya Dr Mvungi mahalu pema peponi. Kwa ukatili huu watu tuji ulize tumefikaje hapa na tunaelekea wapi. R.I.P Dr Mvungi Zitto Kabwe Mwalimu Sengodo Mvungi,baba wa rafiki yangu Dr Natujwa Mvungi, mmoja wa wataalam mahiri wa maswala ya katiba . Umetutoka ukiwa kwenye kazi ya kihistoria kazi ya kuandika katiba yetu.Umetangulia kabla kazi haijaisha ni wajibu kuimalizia kazi hii kukuenzi.Tangulia mwalimu wetu tuna mshukuru mola kwa yote

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni