Alhamisi, 28 Novemba 2013

WAINGIA MITINI BAADA YAKUAMBIWA WAKAPIME UKIMWI NA BABA KANUMBA

  Baba wa marehemu Steven Kanumba,Charles Kusekwa afunguka kuwa baada ya kutangaza kwa wanawake wanaotaka uzao wake wajitokeze azae nao,Wamejitokeza kumi lakini akawapa masharti yakawashinda.Akizungumza na Mwandishi wetu,Baba Kanumba aliweka bayana kuwa warembo hao walijitokeza akawapa sharti lakwenda kupima ukimwi lakini ajabu wote waliingia mitini.

"wamejitokeza vizuri lakini nashangaa wote wamekua wazito katka suala la kupima Ukimwi wameingia mitini kama wapo wengine watakao limudu sharti hilo na wakaribisha"Alisema baba Kanumba.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni