Jumatatu, 18 Novemba 2013

Upungufu wa ajira kwa wanafunzi

Kutokana na upungufu wa ajira kwa wanafunz wanaohitimu vyuo na taasisi mbalimbali za elimu ya juy nchini,baadhi ya taasisi hizo zimependekeza wahitimu wao kuajiriwa moja kwa moja na serikali,huku zingine zikiwapa changa moto wahitimu wao kuajiri na kutengeneza ajira kwa wengine.

Juzi ktk mahafali ya 19 ya Chuo cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka(SLADS)kilichopo Bagamoyo,chuo hicho kilitoa rai kwa mgeni Rasmi.Waziri mkuu,Mzingo Pinda,kuona uwezekano wakuwapatia nafasi za ajira za moja kwa moja wanafunzi wa chuo hicho serikalini. Akizungumzia ombi hilo,Pinda ofisi yake itazungumza na idara ya utumishi na rais Jakaya Kikwete kuangalia uwezekano wa kutoa ajira hizo moja kwa moja kama ilivyo kwa waalimu.

Hili moja nitalichukua , nitazungumza na idara ya utumishi wa Rais wangu tuangalie namna ya kundi hili kulipa nafasi kama ilivyo kwa waalimu.
"Kundi linamchango mkubwa ktk kukuza elimu yetu hapa nchini tukiwa na maktaba na wataalam. Ita wasaidia hata walimu wetu kujifunza na kwenda kutoa elimu bora kwa wanafunz, alisema

Pia aliagiza Halimashauri kujenga maktba za wilaya.Alisema wilaya 19 pekee ndizo zenye maktaba ya wilaya na zilibaku;133 hazina huduma hyo jambo alilo sema linawakosesha wananchi wa maeneo hayo kupata maarifa stadi na taarifa mbali mbali.

Ina kadiriwa nchini kuna maktaba600 za ngazi tofauti zkiwemo zaidi ya maktaba 26 za vyuo vikuu :::,22 za mikoa kati ya mikoa 25 na wilaya 19.

Takwimu zinaonyesha upo upungufu wa maktaba zaidi13,000 nchini. Wakati (SLADS)wakiomba ajira za moja kwa moja serikaluni.Mkuu wa Chuo kikuu cha Dar es salaam(UDSM) Proffesa Rwekeza Mukandala amewataka wahitimu ktk chuo hcho kwenda kuzalisha ajira kwa wengine.Professa Rwekeza Mukandara amewataka wahitimu hao ktk mahafali ya 43 ya chuo hicho yalilyo fanyika juzii jijini Dar es salaaa, kutumia elimu waliyopata kutoajira kwa vijanaa wengine,kwa kuwa elimu hiyo ni ya jamii na sio yao binafsi

Waziri mkuu mh mizengo pinda

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni