Jumatano, 27 Novemba 2013

Haya sasa Steven wa RNB achoka kuwa bachelar

Nijambo la kawaida kwa wasanii wa bongo flava hasa wakubwa kama steve wa RnB kutembea na kila demu mzuri hapa bongo.lakin kwa steve ni tofauti kabisa kwani amefanikiwa kumvisha pete ya uchumba high school sweetheart wake. Ramour has it kwamba Steve RnB ba huyu mrembo wametoka mbali na wamekua wapenzi wa muda mrefu hadi wameshawahi kufukuzwa shule pamoja.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni