Jumatano, 20 Novemba 2013

Timu Tano za Afrika za fuzu kombe la dunia

Timu 5 za Afrika za fuzu kwenda kucheza kombe la dunia nchini Brazili timu hizo ni Algeria,Nigeria,Ivory coast,Cameron&Ghana.

Timu ya soka ya Algeria Timu ya Soka na Nigeria Kikosi cha timu ya Ivory cost Kikosi cha timu ya Cameron Kikosi cha timu ya Ghana

Maoni 1 :

  1. hongera afrika kwa vipaji hivyo tunawatakia maandaliz mema

    JibuFuta