Jumapili, 24 Novemba 2013

JE UNAFAHAMU JINSI YA KUMHANDLE MPENZI WAKO AKARIDHIKA NAWE.

Watu wengi hukurupuka sana ktk swala la mapenzi,ndo maana kila kukicha hakuishi vurugu ktk mahusiano,kuvunjika kwa ndoa.

Wewe kama mwanamke au mwanaume yakupasa kufanya jambo lolote ambalo unajua nikimfanyia mpenz wangu hili jambo jema ama nikimuonyesha aina hii ya mapenz, basi lazima azidi kunipenda na kamwe hato kusaliti kutokana na kumridhisha kwa kila idara .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni