Jumamosi, 16 Novemba 2013

MAREHEM DR SENGONDO AAGWA

Hali ya uzuni ikiwa imetawala pale ambako mwili wa aliyekua Mkurugezi wa katiba,sheria ya haki za binadamu wa NCCR,Dr Sengondo Mvungi  Umeagwa leo ktk viwanja vya Karimjee jiji dar es salaam ambapo wameji tokeza watu mbalimbali wakiwemo wanasheria wenzake,viongozi wa serikali,walimu wa vyuo na wengine wengi. Wakijianda kwa safari ya kwenda kwenda kumpumzisha mwalimu wetu,kiongozi wetu,mpendwa wetu Dr Sengondo Mvungi. Katika mkazi yake ya milele ambako watakwenda kumpumzisha mkoani Kilimanjaro wilaya ya Mwanga

    Mwili wa dr Sengondo ukiwa ndani ya sanduku

Mungu ailaze roho ya marehemu Dr Sengondo Mvungi mahala pema peponi Ameen

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni